Monday, 31 March 2014

MUWEZESHE DIAMOND PLATNUMZ KUSHINDA KWENYE TUNZO KUBWA ZA KORA........!


Tuzo kubwa za Afrika,KORA
zimewadia..na mimi nahusika...hivyo basi
kama mpenzi na shabiki wa Music wangu
Niwezeshe kushinda kwa kunipigiakura
kura . ingia katika Facebook page yao
ambayo ni Kora Awards kisha Katika
kila post niliyoshiriki Comment
kwa kuandika jina Diamond Platnumz

No comments:

Post a Comment