Monday, 31 March 2014

KIGOGO IKULU AMUONGA KAJARA GARI,NI YULE ALIYE KUA NA WEMA WAKAMWAGANA KAJARA AFUNGUKA........!


Nyota wa muvi za kibongo,kajara masanja
Ni madai mazito nyota wa muvi za kibongo KAJARA MASANJA amehongwa gari na mtu
anae daiwa kua ni kigogo ikulu.
kwa mujibu ambao wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii,hasa instragram kajara
alinunuliwa gari hilo ambalo aina ya toyota Brevis lenye rangi ya bluu ilio hiva wiki mbili zilizo pita mara baada ya
kutua bongo akitokea nchin china ambako alikwenda kwa mambo yake binafsi.

No comments:

Post a Comment